Ajali ya kusikitisha imetokea Manyara Hanang katika kata ya Gitting, Marehemu alikuwa akipukuchua Mahindi kwa kutumia Mashine ya Trecta iliyo unganishwa na kinu cha kupukuchulia Mahindi ndipo shuka la kimasai alilokuwa amevaa Marehemu kuingia kwenye mzunguko wa kinu cha kupukuchulia Mahindi na kusababisha marehemu kukatika vipande vitata kichwa pekeyake kifua na mikono pekeyake na Kiuno na miguu pekeyake.. M/mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi... Amin
Search
Jumatatu, 11 Julai 2016
Home
Unlabelled
AJALI MBAYA YA MASHINE YA MAHINDI MANYARA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni