HATIMAYE URENO WABEBA UBINGWA WA EURO 2016.
Kikosi cha ureno kikiongozwa na kaptein wao christiano Ronaldo ambae aliumia na kutoka katika kipindi cha kwanza na kumuacha Louis Nani,,,,,,
Leo tarehe 10/06/2016 kimebeba kombe la mabingwa ulaya (EURO) na kuandika historia mpya,,,,,,
Ureno imebeba ubingwa huo baada ya kucheza Dakika 90 na wapinzani wao France na mpira kumalizika bila bila ndipo mwamuzi alipoamua mchezo uende dakika za ziada (extra time) ambapo mchezaji machachari Eder mnamo dakika ya 109 aliipatia timu yake bao la kuongoza na la ushindi
Kwa mantiki hiyo ureno wameandika record mpya ya kulibeba kombe hilo tena mbele ya mfaransa ambae alkuwa hajawahi kumfunga katika michuano mikubwa hivi karibuni
Pamoja na hayo yote ila kiukweli sifa ziende kwa timu zote mbili mchezo ulkuwa mzuri na kutafutana ingawa ufaransa walionekana wenye uhai zaid licha ya kufungwa
Viva URENO,,, ViVa Ronaldo kaptein
Nimekuwekea video ya goli la ushindi la ureno,,,,,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni