#Maajabu 13 ya tembo
1.Tembo pamoja na ukubwa
wake akitembea hana kishindo
kabisa miguu yake kwa chini ni
kama ina sponji hivi
2.Tembo ana ukubwa wa tani 7
3.Tembo jike hubeba mimba miezi
24 au miaka 2
4.Tembo mtoto huzaliwa akiwa
na kilo 80
5.Chakula cha tembo kwa siku ni
kilo 300 na maji lita 40
6.Ni moja kati ya wanyama ambao
hawapendi kelele
7.Umri wake wa kuishi ni miaka
60
8.Uume wa tembo una kilo
27,ukimuona wakati anafanya
mapenzi kwa nyuma unaweza
kuhisi ana miguu mitatu
9.Tembo ana fanya mapenzi kwa
masaa 12;masaa 6 ya
mwanzo anamuandaa mwenzi
wake na 6 yanayobaki ndio
shughuli yenyewe na hiyo ni ile
raundi ya kwanza
10.Tembo dume huwa na
wanawake wawili mpaka wanne
11.Akipiga bao tembo dume
manii zake ni ujazo wa lita
tano
12.Tembo anategemea sana
uwezo wake wa kunusa ili
kuweza kutambua mazingira
aliyopo na vitu vinavyomzunguka
Sambamba na harufu tembo pia
ana uwezo mkubwa wa kusikia
kupitia masikio yake
makubwa(by the way,tembo
porini huitwa Masikio)
13.Tembo hana uwezo mkubwa
wa kutambua vitu kwa
kuona.hutegemea zaidi pua na
masikio kuweza
kufanikisha shughuli zake.
kutokana na hali hiyo mara
nyingi ukiwa porini unashauriwa
kumpiga picha tembo BILA ya
kutumia flash hii inatoka na
kwamba endapo utatumia flash
wakati unampiga picha tembo
atajenga hisia ya kutoelewa nini
kimetokea.kwa kifupi hataweza
kutofautisha kama ni kitu cha
kawaida au ni hatari.
katika mazingira haya,huanza ku-
charge kuelekea
upande ule ambao mwanga
umetokea
#namba ngapi imekukosha zaidi?
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni