Katika picha iliyopatikana katika makumbusho ya picha huko marekani ,,picha iliyochukuliwa mwaka 1939 na mpiga picha Sid Grossman,,,,inamuonesha mtu mwenye muonekano na pozi kama za Jay Z unayemfahamu leo hii,,,,
Imeleta wasiwasi mkubwa na maneno ya kuwa inawezekana Jay Z aliyezaliwa December 4, 1969 alishawahi kuishi kipindi cha nyuma kabla ya kufa na kuzaliwa upya,,,,
Wakihusisha pia na vibao vyake kama My life time, Best of both worlds (with R kelly) ,Don't let me Die, Young Forever and Encore,,,,kama ni kwamba anakitambua anachokiimba ,,,,
Jay Z ,,,,,,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni