msanii chipukizi toka Tanzania harmonize ametajwa kuwania Tuzo za afrimma kama msanii bora anaeibukia,,,,
Harmonize anaetamba na kibao chake cha matatizo kwa sasa haeezi kuwa mshindi bila kura yako wewe mpigie kura kupitia link hii hapa chini
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
www.afrimma.com/nominees-2016/
Search
Jumapili, 31 Julai 2016
Home
Unlabelled
MSANII HARMONIZE ATAJWA TUZO ZA AFRIMMA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni