Kocha wa chelsea Conte,, kasema hana uhakika kama diego costa anaweza kubaki kuwa mchezaji wa chelsea kwa kipindi cha msimu ujao hivyo kauli hiyo inafungua milango kwa costa kuchagua timu ya kutimkia,,,,,
Hivyo hivyo Kocha wa Real Madrid zinadine Zidane amesema klabu yake haina mpango wa kumuuza mchezaji wao hatari Alvaro Morata kama inavyosikika
Ila kocha huyo ameongeza kuwa mchezaji wake Jesse anaweza kutimkia PSG baada ya kuonesha nia ya kumnyakua..........
Search
Jumapili, 31 Julai 2016
Home
Unlabelled
DIEGO COSTA KUTIMKA CHELSEA,,, ALVARO MORATA KUBAKI MADRID
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni