Nguli wa miondoko ya miziki ya kiafrika zaidi Mrisho mpoto ametoa tathimini yake kwa kumwagia sifa kijana Diamond aka simba au Jini
Mrisho mpoto ameyasema hayo kupitia ukurusa wake wa instagram
Ninachokiona mimi katika tuzo za kili music award mpoto kwenye category ya mziki bora wenye maadhi ya kiafrika kazi anayo,,,,,,
Hichi hapa chini ndo alichokiandika👇👇👇👇👇👇
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni