Mmiliki wa klabu ya Chelsea ya Wingereza amekutana na baba yake mshambuliaji wa Barcelona na timu ya taifa ya Argentina Lionel Messi kuzungumzia uhamisho wa mchezaji huyo bora duniani.
Club Hiyo imeoneshwa kuvutiwa na mshambiliaji na kutaka kutumia Paundi milioni mia moja na kumi ikiwa ni zaidi ya fedha alizonunuliwa Christian Ronaldo na Gareth Bale wa Real Madrid ya Uhuspania.
Mbali na uhamisho huo Club ya Chelsea imekubali kumlipa Paundi laki sita Kwa wiki lakini pia Manchester City pia umehusishwa kumtaka staa huyo na ipo tayar kumlipa Paundi laki nane Kwa wiki.
Chanzo : Goal. com

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni