Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Alhamisi, 7 Julai 2016

    IMENIUMA SANA BAADA YA KUONA VIDEO HII

    Hii ndiyo video fupi ambayo imezua Gumzo na hasira nchini Marekani,  Video hii inamuonyesha kijana Mmarekani Mweusi akipigwa Risasi mpaka kufa na Polisi Mjini Bolton licha ya kutiwa Nguvuni. 

    Kijana huyo aitwae Alton Steling ni mchuuzi tu wa kawaida,  na watu wengi nchini humo wamelihusisha tukio hili na ubaguzi wa Rangi. 

    Rapa Meek Mill ametoa ushuhuda ambapo amedai,  kuwa kijana mweusi Marekani ambaye umekulia uswahilini ni sawa sawa na kujichagulia njia ya kujiua,  ujihesabu utauawa tu. 

    Nini maoni yako katika hili??

    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads