Nusu Final ya kwanza Kati ya Ureno Na Wales imechezwa Leo mida ya saa nne Usiku Kwa saa za Afrika Mashariki Huku ikishuhudiwa Wales akichpwa goli mbili Kwa sufuri.
Goli la kwanza liliwekwa nyavuni dakika 50 na mchezaji wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ureno Christian Ronaldo Huku msumari wa mwisho ukishindiliwa na Luis Nani katika dakika ya 52, Hivyo Ureno wanasubiri mchezo wa kesho wa Nusu final ya Pili Kati ya France na Germany na timu itakayoshinda ndio itakutana Final.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni