Selemani Kitenge ni Kijana anaechipukia katika mambo ya kidiplomasia nchini Tanzania.. Kutokana na kujitambua amekua akijishughulisha katika shughuli mbalimbali zakujitolea katika asasi ya vijana wa umoja wa Mataifa nchini Tanzania.
Tarehe 29 mwezi wa sita (June) alitajwa miongoni Mwa vijana 13 waliopewa Tuzo ambayo ni Diploma katika mambo ya uongozi za viongozi vijana wa badae na Rais wa Austria ambae ndiye mlezi wa forum iliyomtunuku Diploma ya Uongozi , miongoni mwa waliotunukiwa watatu(03) ni kutoka nchi za Africa na waliobaki nikutoka nchi mbalimbali za Ulaya wakiwemo mawaziri na wafanya biashara na Baada ya kupokea aliandika ujumbe kupitia mtandao wake wa facebook kuwashukuru wale wote wameokuwa chachu ya maendeleo yake
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni