Mwanariadha oscar pistorius amehukumiwa kifungo cha miaka sita (06) baada ya kukutwa na hatia ya kumuua rafiki wa kike (girlfriend)bi Reeva stenkamp mnamo mwaka 2013 ,,,,,,kumbukumbu zinaonyesha pistorius alimpiga mkewe risasi nne akisema ni kweli alimpiga lakn ilitokana na uwoga wa kudhani wamevamiwa,,,,,,,,
Search
Jumatano, 6 Julai 2016
stunner
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni