kwa habari zilizonifikia hivi punde ni kwamba soko kuu la mjini musoma limewaka moto na linaendelea kuteketea hadi sass hivi
Bado haijafahamika chanzo cha moto ni nini lakini naambiwa zaidi ya maduka kumi yameshaungua mpaka sasa hivi
Vyombo vinavohusika Tafadhali fikeni eneo la tukio haraka........
Search
Jumanne, 12 Julai 2016
Home
Unlabelled
BRAKING NEWS,,,,, SOKO LA MJINI MUSOMA LINAUNGUA MOTO SASA HIVI,,,,,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni