BREAKING NEWS
Habari za asubuhi.
Kuna ajali mbaya iliyotokea wilaya ya KILOSA ikihusisha Bus la kampuni ya OTTA CLASSIC
yenye namba DGK T.201 likitokea BUKOBA kuelekea D'SALAAM likigongana na loli la mafuta lililokuwa limepaki pembezoni mwa barabara.
Kuna abiria wamekufa ikiwajumuisha na madereva wote wawili na wasaidizi wao pamoja na abiria wengine.
Miili ya marehemu imekimbizwa na mingine bado inapelekwa hospitali ya mkoa wa Morogoro kwa utambuzi na kwa itifaki ila mahututi wengine wanapatiwa matibabu hapo hospitali ya ST JOSEPH inayomiliikiwa na Kanisa la Roman Catholic.
Rai:Kama una ndugu unahisi au unafahamu alikuwa anasafiri basi fanya mawasiliano naye mapema.
Sambaza taarifa hii katika magroup mengine.
DEREK MKUWA
KILOS
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni