Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Ijumaa, 15 Julai 2016

    JULIUS MTATIRO KUPITIA UKARUSA WAKE WA FACEBOOK KAANDIKA HII KUHUSU MATOKEO YA KIDATO CHA SITA

    SHULE BORA 2016 (KIDATO CHA SITA)
    1. Kisimiri,-Arusha
    2. Feza Boys,-Dar es Salaam
    3. Alliance Girls,-Mwanza
    4. Feza Girls,-Dar es Salaam
    5. Marian Boys,-Pwani
    6. Tabora Boys,-Tabora
    7. Kibaha,-Pwani
    8. Mzumbe-Morogoro
    9. Ilboru,-Arusha
    10.Tandahimba-Mtwara

    SHULE ZILIZOFANYA VIBAYA SANA:
    1. Mpendae-Unguja
    2. Ben Bella-Unguja
    3. Tumekuja-Unguja
    4. Green Bird Boys-Kilimanjaro
    5. Jang'ombe-Unguja
    6. Kiembe Samaki-Unguja
    7. Tanzania Adventist-Arusha
    8. Al- Ishan Girls-Unguja
    9. Azania-Dar es Salaam
    10. Lumumba-Unguja

    Pongezi za pekee kwa mbunge wa Tandahimba Katani Katani. Juhudi zako za miaka 7 iliyopita kupigania elimu ya Tandahimba zimeanza kuzaa matunda. Keep it on Bro!

    Mtatiro J

    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads