Alizaliwa tarehe 18/02/1898 huko Modena na alifariki tarehe 14/08/1988
Miezi mitatu baada ya kufariki Enzo ferrari alizaliwa mwanasoka katika nchi ya ujerumani anaefahamika kwa jina la MESUT OZIL tarehe 15/10/1988 ambaye kwa muonekano na maoni ya wengi wanasema ni Ferrari mwingine aliyezaliwa Ujerumani
Mesut Ozil kimuonekano na Enzo ferrari wanafanana kama ni mtu mmoja ,,,,,Tazama picha zao hapa⏬⏬⏬⏬
Usikose kufuatilia mada nyingine kama hii kumuhusu Jay Z hapa hapa adonistunner.blogspot.com
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni