Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Ijumaa, 15 Julai 2016

    RONALDO NA MAMA YAKE WAZUA UTATA.

    Nahodha WA timu ya Taifa Ureno Christian Da Santos Avero Ronaldo amekua gumzo katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikimuonesha yupo mama yake mzazi katika fukwe za Ibiza nchini Uhispania.

    Mchezaji huyo bora kabisa katika kizazi hiki Cha karne ya 21 amekuwa akivutia mashabiki wengi dunuani kulingana na Aina ya Maisha ameyokuwa akiishi siku zote.

    Hivi karibuni Dada mmoja WA kireno alionekana akimsifia Ronaldo kupitia mtandao wake WA Instagram akimwambia "Vice e' eboneto" akiimaanisha "Wewe ni handsome "

    Mbali na huyo katika kipindi kadhaa kilichopita Ronaldo alionekana kuwa na ukaribu na Alena Alexandrova Dancer WA Urusi , Kendall Jenner na Aline Lima mwanamitindo WA Brazil.





    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads