Kiongozi wa Chama Cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameondoka nchini mchana huu kuelekea Philadelphia nchini Marekani Kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama Cha Democrats (Democratic National Convention) utakaomthibitisha Hillary Clinton Kuwa Mgombea Urais kupitia Chama hicho.
Taarifa iliyotolewa na ACT inasema wakati akiwa kwenye Mkutano huo Zitto atapata Fursa ya Kufanya Mazungumzo Na Viongozi mbalimbali wa Kisiasa duniani, pia atafanya kikao cha maandalizi ya ufunguzi wa tawi la wanachama wa ACT Diaspora la Nchini Marekani.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni