Story kamili ni kwamba IQU alichukua gari ya baba ake mpya amenunua si siku nyingi na kwenda Tanga na Ude ude kupiga ishu .
Walifika sehemu kuna bank wakawa wana mtaim kuna dada mmoja alikua anatoka chukua pesa na kumpora so yule dada akawa anapiga kelele wakati wao wanakimbia na baada ya kuoanda gari ndipo boda boda zikaanza wafukuza.
baadae difenda mpaka wakafika sehemu hakuna njia ndio waliposhambuliwa wakiwa kwa gari na iqu akatoka na kuanza kimbia ndipo uhai wake iliishia hapo

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni