Hiki ni Choo kisichotumia maji lakini kinachogeuza uchafu wa mwanadamu kuwa maji (ambayo unaweza kupikia hata kunywa) na pia kuzalisha umeme. Choo hiki kinaitwa "Nano Membrane Toilet" kimevumbuliwa na Chuo kikuu cha Cranfield, Uingereza na inategemewa uvumbuzi huu utasaidia watu zaidi ya bilioni 2.3 ambao hawana vyoo salama na visafi kwa matumizi yao.


Hakuna maoni:
Chapisha Maoni