Majambazi watatu wameuwawa jijini Dsm huku mmoja wao katika eneo la mabibo na kukutwa na Magazini kumi zenye risasi mia 300 za Bunduki aina ya SMG pamoja nabomu huku majambazi wengine wannewakitoroka baada ya kurusha bomu lamkono.
Kamishna wa Polisi kanda Maalum dsmCP Simon siro amesema tukio hilo limetokea alfajiri ya kuamkia leo ambapovijana wapatao hamsini waliwaitilia mashaka watu watano waliokuwawamebeba mabegi ambayo ndani yakekulikuwa na silaha.
Jeshi hilo limeanzisha msako mkali dhidiya majambazi wengine wannewanaosadikiwa kuwa na bunduki za SMG na kutoa wito kwa wananchi kutoa taarifaili kufanikishwa kutiwa mbaroni kwa majambazi hao.
Katika tukio lingine kinara wa wizi wa vifaa vya magari Salum Issa Hassan mfabiashara eneo la kariakoo anashikiliwa na jeshi hilo baada ya kukutwa na vifaa vya wizi vilivyoibwa katika magari zaidi ya 300 zikiwemo,sight Milla,taa.Vioo pamoja naVitasa vya magari.
Katika kukabiliana na tishio la OperesheniUkuta jeshi hilo limefanikiwa kumkamatamfanyabiashara Yoram Sethy Mbyelaakiwa na fulana zaidi ya 200 zenye manenoya Uchochezi kuhamasisha maandamanoya Ukuta na Hapa anatoa onyo.
Chanzo: Jamiiforum
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni