September 20 2016 Mtandao maarufu kwa Habari Za michesho ulichapisha baadhi ya warembo maarufu duniani ambao waliwahi Kutembea na Mchezaji bora Wa Ulaya Christian ronaldo.
Christian Ronaldo amekua ni mwanamichezo anaependwa sana na warembo duniani,,,,,, hv karibun amegonga vichwa vya Habari kuwa amekuwa akiwasiliana na Miss World Ambae Ni raia wa Hispania.
Hawa ni baadhi ya warembo:
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni