Grace vanderwaal mwenye miaka 12 ndo mshindi wa American Got Talent 2016 ,,,,,
Sherehe hizo zilizofanyika tarehe 14/09/2016 Grace alitajwa mshindi na kujishindia kiasi cha dola za kimarekani million 1.
Katika hatua hiyo mwanamuziki Taylor swift Amemtumia salamu za pongezi binti huyo kwani kwa kiasi kikubwa alikuwa akiimba kwa kufata nyendo za mwanamuziki huyo......
Jione video siku ya ushindi wa Jesca Vanderwaal hapa chini....
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni