Tetemeko la ardhi lilotokea hasa kanda ya ziwa mnamo mida ya saa tisa alasiri, linaonekana kuleta madhara zaidi katika manispaa ya Bukoba mkoani Kagera,,, kwani nyumba nyingi zimeanguka na kusababisha madhara makubwa ikiwemo vifo na majeruhi,,, toka sehemu mbalimbali ya manispaa hiyo,,, Imeripotiwa pia kuwa madhara ingawa sio makubwa sana ndani ya jiji la mwanza,,,, Angalia picha nimekuwekea hapa chini ya baadhi ya uharibifu uliofanywa na tetemeko hilo la ardhi
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni