Nimemuona mzee wangu Prof. Lipumba, akiwa Azam TV, amenirushia tuhuma nyingi sana ambazo kwa kweli ni za UONGO wa wazi. Profesa ni mwanachama mkongwe wa CUF, iweje haijui katiba ya chama chake kiasi hiki? Iweje hatambui vikao halali vya maamuzi vya chama chake? Amenivunja mbavu zaidi alipoeleza ati mimi Mtatiro ndiye nilifanya mkutano mkuu ukakosa maelewano. Mzee Lipumba atakuwa na tatizo kubwa la saikolojia. He is INDEED a FRUSTRATED PERSON, he is too CONFUSED na hajui anachofanya! Nachoweza kumsaidia Mwenyekiti wangu mstaafu ni KUMUOMBEA.
JSM.
Search
Jumanne, 6 Septemba 2016
Habari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni