Hiki ndo anachoamini mtatiro katika vuguvugu la kiuchumi kwa sasa nanukuu
"Landmark Hotel hivi sasa ni HOSTEL ya Chuo Kikuu, Hoteli mbili kubwa Arusha Mjini zinauzwa, FASTJET imeanza kufa, CRDB inasema inajipanga upya ili kuanza kutoa mikopo kwa sababu haijui mwelekeo wa kiuchumi,
ATC inajaribu kufufuka, Mkuu wa nchi atakuwa wa mwisho kwenda Dodoma, Serikali inakataa OFA ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuchakata TAKA Kinondoni kwa sababu Meya hana pesa za VAT......Ni mchanganyiko, mnyanganyano, Frustration, Confusion.... AND YET tunaamini uchumi unakua, tena kwa kasi ya viwanda."
JSM.
Source. Facebook Julius mtatiro account.
Search
Jumapili, 11 Septemba 2016
Habari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni