Katika kile kinachoonekana ni Ujirani mwema jana tarehe 17/09/2016 umeshuhudiwa msafara wa magari ya jeshi la kenya yakielekea bukoba kupeleka msaada kutokana na janga la tetemeko kwenye mji huo liloilotokea siku za hivi karibuni,,,,
Tunafurahia umoja wetu wote wana East Africa Thanks Kenya kwa moyo wenu,,,,
Picha kwa udhamini wa JF
Search
Jumapili, 18 Septemba 2016
Habari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni