Jana usiku msanii Wa bongo flavour alikiba aliionyesha mjengo unaosemekana ni wake na kuwaacha watu midomo wazi,,,,
Iangalie video hapa chini ikionyesha nyumba yenyewe
Katika hatua hiyo hiyo msanii diamond nae aka post nyumba yake ya south Africa kwa Mara ya kwanza akionyesha ukubwa na jinsi ilivyo na vitu vingi
Itazame video hapa chini
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni