Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Jumatano, 30 Novemba 2016

    HICHI NDO ALICHOFANYA CR7 KWA WACHEZAJI WALIONGUKA NA NDEGE

    Bado dunia na ulimwengu wa soka kwa sasa unaomboleza msiba wa msafara wa timu ya Chapocoense ya Brazil uliyopata ajali wakati wakielekea kutua uwanja wa ndege wa Medellin Colombia.

    Ajali hiyo ya ndege imehusisha watu 81 kati ya hao 76 wamepoteza maisha huku 72 kati ya hao walikuwa ni sehemu ya msafara wa timu hiyo na wachezaji wakielekea kucheza mchezo wao wa fainali ya kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Atletico Nacional yaColombia.

    Ronaldo

    Cristiano Ronaldo ni mmoja kati ya mastaa wa soka walioguswa kwa kiasi kikubwa na msiba huu, Ronaldo ameamua kuchangia euro milioni 3 ambazo ni zaidi ya Tsh bilioni 9.6 kwa timu yaChipacoense na familia za wachezaji wa timu hiyo waliyopoteza maisha.

    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads