Sailendra Nath Roy (50) mzaliwa wa India amefariki dunia wakati akitaka kuweka record ya kuvuka mto kwa kutumia nywele zake ambazo anakuwa amezifunga kwenye waya mdogo ambao unakuwa umefungwa nywele zake.
Lakini kwa bahati mbaya alipofika katikati ya mto huo ndipo nywele zilig'ang'ania kwenye waya huo na kujaribu kujinasua lakini ikashindikana.
Roy alianza vizuri
Hapa ndio baada ya nywele za Sailendra Nath Roy kunasa na kuaza kujaribu kujinasua
Lakini ilishindikana na mauti yakamkuta
Wananchi wakijaribu kumvuta kumtoa alipofia baada ya nyele zake kug'ang'ania kwenye waya aliokuwa anautumia kwa kufungia nywele
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni