Spika wa bunge mstaafu bwana samwel sita amefariki dunia usiku wa kuamkia leo nchini Ujerumani alipokuwa amepelekwa kwa ajili ya matibabu,,,,
Mzee samwel sita alizaliwa December 02 mwaka 1942,,
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi,,,
Search
Jumatatu, 7 Novemba 2016
Habari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni