Kama alivoahidi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr.John Joseph Pombe Magufuli kuwa muswada wa sheria ya habari uliopelekwa bungeni na waziri wa Habari Utamaduni na Michezo,Mh.Nape Nnauye Leo umepitishwa na kusubiri sahihi ya Rais ili kuwa sheria,,,,
Search
Jumamosi, 5 Novemba 2016
Habari
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni