Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Jumatano, 7 Desemba 2016

    SIRI IMEFUCHUKA KUHUSU BALLON DOR

    Gazeti la Hispania ‘Mundo Deportivo’ Jumanne lilitoka na taarifa kwamba, mshindi wa Ballon d’Or 2016 tayari anafahamika.

    Habari hiyo iliwastusha baadhi ya watu, inadaiwa Cristiano Ronaldo amembwaga Leo Messi na kushinda tuzo hiyo.

    2016 umekuwa ni mwaka wa mafanikio kwa Star huyo wa Real Madrid. Alifunga penati ya mwisho kwenye fainali ya Champions League 2016 dhidi ya Atletico Madrid , huku akiisaidia Ureno kushinda taji lao kubwa kwa mara ya kwanza kwa kutwaa taji la Euro 2016.

    Kwa upande wa mpinzani wake mkuu, Messi, alishinda La Liga akiwa na FC Barcelona huku akipoteza mchezo wa fainali ya Copa America dhidi ya Chile.

    Mundo Deportivo linasisitiza taarifa kuhusu Ronaldo kushinda tuzo ya Ballon d’Or ni “official”.

    Ushahidi itakuwa ni December 12, ambapo France Football watatangaza nani mshindi wa Ballon d’Or 2016.

    Source :Shafii Dauda

    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads