Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Jumanne, 19 Julai 2016

    BODI YAFAFANUA KUHUSU MLIMA KILIMANJARO

    Bodi ya Utalii Tanzania imetoa taarifa kufafanua kuhusu Mlima Kilimanjaro baada ya shirika moja la habari la Marekani kudaiwa kuchapisha taarifa iliyoonekana kuashiria mlima huo unapatikana Kenya.
    Shirika hilo lilikuwa likiripoti kuhusu kifo cha Guguleth Zulu, raia wa Afrika Kusini, aliyefariki akikwea Mlima Kilimanjaro.
    Bi Odinga: Nilikosea, Olduvai Gorge iko Tanzania
    “Tungependa kusahihisha habari za kupotosha zilizochapishwa na Miami Herald, kwamba Mlima Kilimanjaro unapatikana Tanzania na si Kenya,” taarifa iliyotiwa saini na meneja mkurugenzi wa Bodi ya Utalii ilisema.

    Bodi hiyo inasema imeliandikia barua gazeti hilo na kulitaka lichapishe sahihisho.


    Source :BBCSWAHILI

    Maoni 1 :

    1. Sisi dereva uber tusiwe na mda maalum wa kukaa maegesho na tukilipa terminal moja tulipishe mda huo terminal ya pili

      JibuFuta

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads