#HABARI + #TETESI #BARANI #ULAYA........ Meneja Wa Timu Ya Man Utd Jose Morinho Amesema Kuwa Ibraimovich Atakosekana Ktk Safari Yao Ya CHINA Ambako Watapiga Kambi Kwa Ajili Ya Mazoezi...Lakini Pia Amesema Kuwa Msimu Ujao Atamtumia Rooney Kama Mshambuliaji Ili Kumrudisha Ktk Ubora Wake......... LIST YA TIMU 10 BORA DUNIANI KULINGANA NA FIFA.................. 1. ARGENTINA Yenye Pointi 1583..... 2.BELGIUM Yenye Pointi 1401...... 3.COLOMBIA Yenye Pointi 1331.......4.GERMANY Yenye Pointi 1319....... 5.CHILE Yenye Pointi 1316........6.PORTUGAL Yenye Pointi 1266........ 7.FRANCE Yenye Pointi 1189......... 8.SPAIN Yenye Pointi 1165..........9.BRAZIL Yenye Pointi 1156...........Huku #Tanzania Tukiwa Nafas
i Ya 123 Tukiwa Na Pointi 300......!!!
i Ya 123 Tukiwa Na Pointi 300......!!!
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni