Mbunge WA Kigoma Mjini Mh. Zitto Zuberi Kabwe amefunga ndoa Leo hii katika kisiwa cha Unguja,Zanzibar katika Eneo La Nungwi
Zitto Kabwe amefunga ndo na Bi. Anna Mtura Leo na kuaga rasmi kambi ya Ukapela.
Kwa pamoja tunamtakia kilalakheri katika maisha yake ya ndoa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni