Mtu mmoja kabila la wamasai amefariki dunia hapo jana tarehe 31/07/2016 mkoani kilimanjaro akiwa anakata nyaya za umeme kwaajili ya kwenda kutengenezea bangili,,,,,,
Picha za tukio zima nimekuwekea hapa chini
Search
Jumatatu, 1 Agosti 2016
Home
Unlabelled
AFARIKI DUNIA AKIKATA NYAYA ZA UMEME KWA AJILI YA KUTENGENEZEA BANGILI,,,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni