ORK/IR/239/2016
KOSA:- MAUAJI
Mnamo tarehe 29/07/2016 majira ya saa 19:30 huko katika kijiji cha NGOISUKI w SIMANJIRO m MANYARA MITIAKI s/o PAUL, MMASAI-28Yrs, NABERERA
aliuwawa kwa kuchomwa mkuki na ndugu yake PERMET s/o PAUL,
MMASAI-22Yrs
NABERERA
CHANZO CHA MAUAJI
Marehem alikuwa anamdai muuaji MEMORY CARD na iliyomfanya alipize kwa kuchukua redio ya muuaji na kutowa memory card kitendo ambacho kilimuudhi muuaji na kuamua kuchukua mkuki na kumchoma nao marehem
MUUAJI baada ya kumchoma mkukuki marehem aliuchomoa na kukimbia na ndipo alipofanikiwa kukamatwa katika kambi za uwindaji wanyama za ESHKESH Alipoenda kuomba maji ya kunywa baada ya kuzidiwa na kiu na kuchukuliwa hatua za kisheria
//////// TOKA INTELEJESIA SIMANJIRO//////
Search
Jumapili, 31 Julai 2016
Home
Unlabelled
MMASAI AMUUA MWENZAKE KISA MEMORY CARD MANYARA
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni