Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Ijumaa, 19 Agosti 2016

    AJALI MBAYA IMETOƘEA ALFAJIRI YA LEO MAENEO YA MLIMANI CITY DAR...

    Usiku wa August 19 maeneo ya mataa yaliyopo kati ya Mlimani City na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitokea ajali ya gari ndogo ambayo haikuweza kufahamika kwa haraka kutokana na kugongwa na Lori lililovuka na kuingia hadi kituo cha mafuta kilichopo jirani na mataa hayo.

    Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo gari ndogo ilikuwa ikiendeshwa na mwanamke ambaye mwili wake haukuwa umeweza kuokolewa kutokana na kubanwa.





    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads