Msanii Diamond platinum ameshindwa kutamba mbele ya msanii Eddy Kenzo wa Uganda kwenye Tuzo za UGANDA ENTERTAINMENTS AWARDS ambapo tuzo zote mbili zimemwandia msanii Eddy kenzo kutoka uganda,,,,,,,
1.Artist of the year
2.Best male artist
Tuzo hizo zilizofanyika Jana katika ukumbi wa serena hotel Kampala,,na kuhudhuliwa na watu mbalimbali akiwemo mchezaji wa liverpool wa zamani Robie Fowler,,,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni