Tunakupa unachohitaji sasa na baadae

Propellerads
  • WELCOME TO Adonisstunner Blog FOR UPDATED NEWS AND ENTERTAINMENTS

    Search

    Jumamosi, 20 Agosti 2016

    WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA BARAZA LA MAASKOFU KATOLIKI TANZANIA (TEC)


    [​IMG]
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tarcius Ngalalekumtwa kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam.
    [​IMG]
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katoliki la Bunda, RenatusNkwande (katikati) na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tarcius Ngalalekumtwa kabla ya mazungumzo yao ,Ofisini kwake jijini Dar es alam
    [​IMG]
    [​IMG]
    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Askofu Tarcius Ngalalekumtwa, Askofu Renatus Nkwande wa Jimbo Katoliki la Bunda (wapili kulia) na Katibu Mkuu wa Baraza laMaaskofu Tanzania (TEC), Padri Raymond Saba (kulia), Ofisini kwake jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016​

    Source. Jamiiforum

    Hakuna maoni:

    Chapisha Maoni

    Search

    Chapisho Lililoangaziwa

    NEW HIT:OMMY DIMPOZ FT ALIKIBA-KAJIANDAE

    Toa Maoni yako

    Jina

    Barua pepe *

    Ujumbe *

    Wanaofuata

    Propellerads