Mshambuliaji wa arsenal Joel campbel ametolewa kwa mkopo na klabu yake ya arsenal kuelekea sporting lisbon ya ureno kwa kipindi cha mwaka mmoja ,Ni timu hiyo hiyo aliyotoka mchezaji wa Madrid Christiano Ronaldo,,,,,, Source. O Jogo Read more
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni