Michezo PIGO....MCHEZAJI KUN AGUERO AFUNGIWA, KUIKOSA MAN U,,,,,, Adonis Jumatano, Agosti 31, 2016Mshambuliaji wa Man City Sergio Kun Aguero afungiwa, kuikosa Man United Sergio Aguero MANCHESTER, ENGLAND NYOTA wa klabu ya Mancheste... Read more Hakuna maoni:
Michezo DONE DEAL: ARSENAL WAMSAJILI MUSTAFI.... Adonis Jumatano, Agosti 31, 2016 Klabu ya arsenal ametangaza kukamilisha usajili wa mchezaji Mustafi,,,,toka klabu ya Valencia ,,mustafi ameonekana kuwa chaguo sahihi ... Read more Hakuna maoni:
Michezo TETESI,,,ARSENAL KUMCHUKUA HUYU TOKA MONACO Adonis Jumanne, Agosti 23, 2016Klabu ya Arsenal katika kutafuta mchezaji wamejikuta wakiangukia kwa mchezaji Marcel Tisserand wa Monaco ambaye anaweza kucheza ... Read more Hakuna maoni:
Michezo LIVERPOOL KUMUACHIA SAKHO.... Adonis Jumanne, Agosti 23, 2016Klabu ya liverpool inataka kumtoa mchezaji wake Mamadou Sakho kwa mkopo katika klabu yeyote ili aweze kuwa vizuri zaid katik... Read more Hakuna maoni:
Michezo WESTBROM WASHINDA MBIO ZA KUMSAJILI BRENDAN GALLOWAY Adonis Jumatatu, Agosti 22, 2016Timu ya Westbrom imemsajili mchezaji Brendan Galloway toka everton kwa mkopo kwa msimu wa mwaka 2016-2017 Westbrom imeipiku New... Read more Hakuna maoni:
Michezo ARSENAL KUMSAJILI SHKODRAN MUSTAFI Adonis Jumatatu, Agosti 22, 2016Arsene wenger amekiri kumtaka mchezaji wa kimataifa wa Valencia SHKODRAN MUSTAFI kutoka klabu ya valencia Klabu ya Valencia i... Read more Hakuna maoni:
Michezo BARCELONA WAMSAJILI HUYU HAPA,,,, Adonis Jumatatu, Agosti 22, 2016Klabu ya Barcelona inatarajia kukamilisha usajili wa mshambuliaji wa Atletico Madrid Paco Alcacer kwa kiasi €30 million mwishoni ... Read more Hakuna maoni:
Michezo JOEL CAMPBEL WA ARSENAL KUFATA NYAYO ZA RONALDO, URENO,,,,,, Adonis Jumamosi, Agosti 20, 2016 Mshambuliaji wa arsenal Joel campbel ametolewa kwa mkopo na klabu yake ya arsenal kuelekea sporting lisbon ya ureno kwa kipindi cha mwaka... Read more Hakuna maoni:
Michezo TAZAMA LUKAKU ALICHOWAFANƳIA CHELSEA,,, Adonis Jumamosi, Agosti 20, 2016 Mshambuliaji wa kimataifa lumelu lukaku amekataa kujiunga na klabu ya chelsea na kuweka mkataba mpya wa kuitumikia Everton kwa kipindi ki... Read more Hakuna maoni:
Michezo HUU NDO USAJILI MWINGINE WA TOTENHAM Adonis Jumamosi, Agosti 20, 2016 Klabu ya Totenham ya nchini Uingereza inakamilisha usajili wa mchezaji George Kevin N'koudou kutoka klabu ya Marseille ya ufaransa kwa... Read more Hakuna maoni:
Michezo TAZAMA RATIBA ZA MECHI EPL KESHO JUMAMOSI Adonis Ijumaa, Agosti 19, 2016Nimekuwekea Ratiba ya mechi ya ligi kuu england kesho Read more Hakuna maoni:
Michezo CHELSEA YAMTUPIA MACHO RICARDO RODRIGUEZ Adonis Ijumaa, Agosti 19, 2016Klabu ya Chelsea iko tayari kumsajili mchezaji toka Wolfsburg RICARDO RODRIGUEZ kwa kitita cha €22 million kuziba pengo la mchezaji Baba Rah... Read more Hakuna maoni:
Michezo BARCELONA YAHAHA KUTAFUTA MSHAMBULIAJI Adonis Ijumaa, Agosti 19, 2016Klabu ya Barcelona bado iko kwenye harakati za kutafuta mshambuliaji huku macho yao yakiwa zaidi kwa Randon Salomon wa westbrom,,,,,Ayoze Pe... Read more Hakuna maoni:
Michezo ESSIEN KARUDI CHELSEA Adonis Ijumaa, Agosti 19, 2016Mchezaji wa kimataifa wa Ghana Michael Essien ameonekana akifanya mazoezi na timu yake ya awali ya jijini London Chelsea baada ya kumaliza m... Read more Hakuna maoni:
Michezo MANCHESTER CITY YAKATA OFA YA JOE HART Adonis Ijumaa, Agosti 19, 2016Klabu ya manchester City imekataa ofa ya kutoa mchezaji wake goolkeeper Joe Hart kwa kigezo cha kuwa inahitaji kitita cha €30 mil... Read more Hakuna maoni:
Michezo FUNUNU----ALEXIS SANCHEZ KUTIMKIA INTERMILLAN Adonis Jumatatu, Agosti 15, 2016Mchezaji wa arsenal na timu ya taifa ya chile anatakiwa na ƙlabu ya intermilƙan baada ya mazungumzo yake na klabu ya arsenal ... Read more Hakuna maoni:
Michezo USAIN BOLT ,,HAYA NDIO ALIYOYAFANYA HUKO RIO DE JANEIRO Adonis Jumatatu, Agosti 15, 2016Usain Bolt ametajwa kuwa binadamu mwenye kasi zaidi duniani baada ya kushinda mbio za mita mia kwa mara nyingine tena huko Rio de Janairo U... Read more Hakuna maoni: