Arsene wenger amekiri kumtaka mchezaji wa kimataifa wa Valencia SHKODRAN MUSTAFI kutoka klabu ya valencia
Klabu ya Valencia inahitaji kiasi cha €50 million kwaajili ya kumuachia mchezaji huyo
Kocha wenger amesema anataka kukamilisha usajili huo mapema kabla ya dirisha la usajili kufungwa wiki ijayo..
Chanzo. Daily Mirror
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni