Mchezaji wa arsenal na timu ya taifa ya chile anatakiwa na ƙlabu ya intermilƙan baada ya mazungumzo yake na klabu ya arsenal ya ƙongeza mkataba kugonga mwamba
Sanchez anatakiwa na intermillan kwa kiasi cha €80m na aƙihitaji mshahara wa €8m kwa mwaka
Alexis amebakiza kipindi cha miaƙa miwili kuichezea klabu ya arsenal
Chanzo: gazeti la The Sun
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni