Usain Bolt ametajwa kuwa binadamu mwenye kasi zaidi duniani baada ya kushinda mbio za mita mia kwa mara nyingine tena huko Rio de Janairo
Usain aliahinda ɓaaɗa ya kumshinda mpinzani wake kwa tofauti ya sekunde 0.8 ,,,,,
Baada ya ushindi huo haya ndo maneno aliyoyasema kwa taifa laƙe usain bolt
"
Jamaica Stand Up!!!
This for you my people
— Usain St. Leo Bolt (@usainbolt) August 15, 2016"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni