Sasa naamini serikali na vyombo vya dola vipo kazini .Jana mara baada ya UVCCM kutoa taarifa za ufisadi za Sixtus Mapunda (aliyeƙuwa katibu Mkuu wa jumuiya hiyo na kwa sasa ni mbunge wa Mbinga), leo kakamatwa na TAKUKURU kwa mahojiano zaidi na ikibidi kufikishwa Mahakamani Mapema iwezekanavyo
Wakati huo huo mdada na aliyekuwa katibu wa UVCCM, iringa wakiendelea kutafutwa,,,
Source,,Jamiiforum..
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni