Baadhi ya askari polisi mkoani Singida, wametembeza silaha zao kwenye mitaambalimbali Singida mjini, kwa ajili yakuwaonyesha wananchi silahazilizonunuliwa kwa kodi zao.
Kaimu Kamanda wa polisi mkoa waSingida, SSP Mayalla Towo, alisema zoezihilo ni la kawaida na halina uhusiano najambo lolote.(Picha na Nathaniel Limu).
Baadhi ya askari polisi mkoa wa Singidawakiwa kwenye paredi muda mfupi kablahawajaanza kuonyesha silaha zao kwawakazi wa mji wa Singida.
Chanzo.Jamiiforum
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni