Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mh. John Joseph Pombe Magufuli ameendelea kuonyesha wazi kuwa sio mtu wa "MCHEZO MCHEZO" baada ya kutengua Uteuzi wa RAS, na DED Mkoa wa Kagera baada ya kupata Taarifa za kutaka "Kupiga dili" kupitia Maafa ya Mkoa wa Kagera
Pia Mh Rais ametoa shukrani zake za dhati kwa serikali ya india baada ya kupokea kiasi cha fedha taslimu million 545 kwaajili ya Maafa ya Mkoa wa Kagera.
Search
Jumanne, 27 Septemba 2016
Breaking
Home
Breaking
BREAKING NEWS... RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA RAS, DED, MKOA WA KAGERA,,, PIA MHASIBU MKUU ASIMAMISHWA KAZI,,,
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni