Leo mwanadada wema sepetu ametimiza miaka kadhaa,, kitu ambacho kimesababisha insta kuchafuka leo kwa post za kumtakia heri ya kuzaliwa
Mama yake Diamond ameushangaza umati wa insta kwa kumtakia Heri ya kuzaliwa wakati huo huo kwenye siku ya kuzaliwa ya Zari hakumtakia heri ya kuzaliwa,,,
Inazua maswali kuwa kwanini!!!!
Search
Jumatano, 28 Septemba 2016
Burudani
Home
Burudani
INSTA YACHAFUKA BIRTHDAY YA WEMA,, NI BAADA YA MAMA DIAMOND KUMU "WISH" WAKATI ZARI HAKUMU "WISH"
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni